FULL VIDEO: Yemi Alade performance FIESTA 2016 Dar es salaam
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Yemi Alade ni mwimbaji kutoka Nigeria, ukali wake ulianza kuonekana kuanzia kwenye smash hit ya 'Johnny' ambayo mpaka sasa video yake Youtube ina views zaidi ya million 54.