FAHAMU UTABIRI WA MAISHA YA MWANADAMU KWA KUTUMIA VINASABA ,DNA
У вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
FAHAMU UTABIRI WA MAISHA YA MWANADAMU KWA KUTUMIA VINASABA ,DNA
Imezoeleka kuwa vipimo vya vinasaba DNA hutumika kutoa taarifa za ndani kabisa kuhusu mtu Fulani kama kugundua baba yako halisi ni nani , amerithi vinasaba gani kutoka kwa wazazi wake na kadhalika, mpaka sasa majibu ya vinasa ba yanaaminika pengine kuliko majibu mengine yoyote ya kidaktari, ushahidi wa vinasaba hauna shaka na ndio maana hata mahakamani aunaaminika sana.
Baada ya kuumiza vichwa kwa muda mrefu hatimaye wanasayansi wamekuja na kitu kipya kiitwacho Genetic Fortune Telling ,katika teknolojia hii kwa kutuymia vinasaba wanasayansi wana uwezo wa kutabiri maisha ya mtoto kuanzia akiwa tumboni au hata akishazaliwa .
#Vinasaba
https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho