Monday, 22 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

CHEKI!! DIAMOND Baada yakutinga Tandale Leo Akusanya Umati

CHEKI!! DIAMOND Baada yakutinga Tandale Leo Akusanya UmatiУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
CHEKI!: DIAMOND Baada yakutinga Tandale Leo Akusanya Umati Ili kuangalia Video ya Mapokezi ya Diamond alivyotinga Tandale Fuatilia Part 2 ya Mapokezi hayo ya Diamond Tandale kupitia Global TV Online. STAA wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amewakumbuka wakazi wa Tandale kwa kuwagawia chakula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Idd El Fitri. Diamond ametoa msaada huo leo Ijumaa, Juni 15, 2018 ikiwa ni sehemu ya kuwakumbuka wakazi wa tandale ambako ndipo haswa alikozaliwa na kukulia, kuanza muziki kabla ya kuwa staa. Imekuwa utamaduni wa msanii huyu mkubwa Tanzania na Afrika nzima kuwasaidia watu wenye kipato cha chini hasa kwenye sikukuu kwa kuwapa vyakula ili nao washerehekee vyema sikukuu hizo na familia zao. Diamond ametoa msaada wa mchele (kilo tano kila mtu), nyama (kilo mbili kila mtu) na pesa taslim kiasi cha Tsh. 5,000/= kwa kila mkazi wa Tandale aliyefika nyumbani kwao na Diamond ambapo tukio hilo lilikuwa likifanyika. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
Мой аккаунт