Saturday, 20 September, 2025г.
russian english deutsch french spanish portuguese czech greek georgian chinese japanese korean indonesian turkish thai uzbek

пример: покупка автомобиля в Запорожье

 

Babu Owino aachiliwa kwa dhamani ya Ksh 10M huku akiamrishwa kutogusa kileo chochote

Babu Owino aachiliwa kwa dhamani ya Ksh 10M huku akiamrishwa kutogusa kileo chochoteУ вашего броузера проблема в совместимости с HTML5
Mbunge wa Embakasi Mashariki Paul Ongili maarufu Babu Owino ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi milioni kumi au mdhamini wa kiasi sawa. Hakimu mkuu francis andayi alilazimika kutoa uamuzi huo baadaye jioni hii baada ya wafuasi wa babu kuzua vurugu mahakamani. Mahakama aidha imemuamuru mbunge huyo kutogusa kinywaji chochote cha kileo pamoja na mihadarati aina yoyote ile. #Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: http://std.co.ke/apps/#android KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Мой аккаунт